Mahojiano na Mustabsir kutoka Chabahar, ambaye aliongoka kwa jina, kumbukumbu na njia ya Sayyid al-Shahda (AS) kwenye njia sahihi na kua Shia.
Mwenyewe anajitambulisha kama ifuatavyo:
Mimi ni mtumishi wa Kiislamu kutoka katika moja ya vijiji vya Chabahar na imepita zaidi ya miaka 10 tangu niwe Shia. Mwanzoni, makazi yetu yalikuwa Hotan Park, kati ya Chabahardar Kanarak, Bibi yangu alikuwa
Shia mwanzoni, lakini kwa sababu ya masuala fulani, alijiunga na Sunni, lakini kidogo kidogo, walimlazimisha kuwa Sunni, lakini yeye ni sunni Husseini.
Nimekuwa na mapenzi ya Hadhrat Ali na Fatima moyoni mwangu tangu nilipokuwa mtoto, Navarii ni mmoja wa mullah(shekh) wa eneo letu, ambaye alizungumzia habari kuhusu Imamu Husein ambayo ilinivutia tangu wakati huo, kutoka hapo moyo wangu ulibadilika na nikachukua mapenzi ya Husein moyoni mwangu, katika eneo letu hata katikati ya mwezi Shaaban, walikuwa wanasherehekea kuzaliwa kwa Imam Zaman, sehemu niliokua naishi hata kama hawakuwa Mashia, lakini walikuwa ni wahussain, kidogo kidogo nilipokua, mapenzi ya Ahlul-Bayt yalikuwa moyoni mwangu.
Tulipohamia eneo jingine, nikaona hawakuzungumza kuhusu Ahlul-Bayt(as), walisema “Ya Husayn” ni shirki, hata waliwatukana Ahlul-Bayt(as) , nilikasirika sana na ndio hapo sikutaka kujitaja kua mimi ni sunni, nikasema kwamba ikiwa Sunni ni hivi, basi sitaki kuwa Sunni tena na nilitangaza hadharani kwamba mimi ni MShia kwa sasa.
Masomo yake:
Shukrani kwa Bwana Ali Bin Musa Al-Ridha, mmoja wa marafiki zangu kutoka Mashhad alinipa CD ya kitabu cha (Usiku wa Peshawar) na nikasikiliza yaliyomo ndani yake.
Baba yangu alikuwa anafahamiana na watu kadhaa kutoka Mashhad na walikuwa wakija na kuondoka, nilipokwenda ziara, nilisikitika na machozi yalinitoka hadi nikakimbilia kwa Imamu, na niliona athari yake. Niligundua kuwa Ahlul Bayt ni tofauti na wengine nilikwenda kusoma na maisha yangu na njia ilibadilika.
Niliposoma kitabu kile, mikono yangu ilifunguliwa nilipozungumza na Masunni, nikaona hakika hawajui kuhusu dhehebu yao, na walizungumza tu juu ya serikali zinazotafuta hazina ya Waislamu tu, lakini hawakuzingatia haki za maskini, kutoka kwa mtu ambaye hata Inaonyesha kwamba hawakuwa na ufafanuzi na ufahamu, walifafanua tu fedha na mali, nini thamani ya dunia, maisha na mali ziko sawa.
Je, uko tayari kujitolea watoto wako katika njia hii? Husein wetu hakuwacha kitu, alijitolea Watoto wake wote, hali ya kua Masunni hawakuwa na elimu yoyote juu yake, Masunni wa zamani wanamkubali na Imam Husein, lakini Mawahabi wana kitu kinachoitwa Husein.
Nilipoona utendaji wa MaSunni na kwamba hawana hata elimu kuhusu Shia lakini wanaitenga, niliamua kuwa Shia ili niwape majibu, Huwezi kuchukua upande mmoja wa mzani na upande mwengine kua mtupu, lazima kuwe na mtu wa kuwajibu, nikawa Shia kwa nia ya kuwajibu na nikamwomba Imam Ridhaa (as) ili nifanikiwe, hawakuweza kufanya mjadala wa kielimu hata kidogo. Elimu yangu iko kwenye kiwango cha mzunguko lakini nao hawakuweza kujibu hata kwa kiwango cha mzunguko, nilikuwa nazungumza juu ya ukweli na hakuna ukuta unaoweza kuzuia ukweli.
Vitendo vya walio karibu naye, baada ya kuwa Shia:
Walisema nina kichaa, waliniita kichaa, walinifungia nyumbani kwangu katikati ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, pia niligoma kula nikafunga, siku mbili zikapita hivi, wakasema atakufa, hadi hatimaye walipofungua mlango wa nyumba yangu.
Familia yake:
Nilikuwa kwenye ndoa wakati huo, ilikuwa ngumu kwao na hawakuweza kukubali kirahisi, lakini pia hawakuweza kunizuia na kubadili njia yangu, japokua mke wangu bado hajakua shia lakini amebadilika tofauti na mwanzo.
Sasa, namshukuru Mungu, watoto wangu ni Shia, dada yangu, mama yangu, Watoto wa dada yangu na Watoto wa kaka yangu pia wamekuwa Shia.
Ndio, kwa kawaida, unapotaja jina la Ahlul-Bayt, athari yake inaonekana katika kumbukumbu na maneno ya mtu, na hata watu walio karibu nawe wanaona mabadiliko haya ya tabia na wanavutiwa nayo.
Je, umekuwa na ufanisi gani kwa wengine?
Watu wengi wanavutiwa na maneno yangu, lakini kwa bahati mbaya wamekwama katikati, walitengeneza kitu kutoka kwa Shia miongoni mwa Sunni ambacho hakuna mtu anayethubutu kusema hata kwa siri kwamba mimi ni Shia, natangaza sana ushia na hii ni kwa lugha tofauti na nina hakika itasaidia sana.
Je, mtazamo wa wapinzani wako ni tofauti sasa hivi?
Mungu ni shahidi, ninapopita mitaani, vijana huinua mikono yao na kunisalimia na kuniheshimu.
Una mazungumzo gani na MaSunni?
Ninasema, tazameni Husein na Yazid, ukweli wa Husein, as, ni mkali kuliko jua, nilipoanza kwenda kwa Husein, nikisema Ya Hussein na kumlaani Yazid, njia yangu ilibadilika, njia ya Hussein ni pepo, anayetaka pepo ndiyo njia pekee na Inatosha, njia yoyote anayokwenda itakua makosa, anaenda njia ambayo hata maadili na tabia yake na kila kitu kinakuwa cha Husseini.
Agosti 18 2024
Mapenzi kwa Imam Hussein (as) ndio sababu ya mimi kuongoka

By kiswahili • HISTORIYA YA WALIOKUWA MASHIA 0 • Tags: ahlubayt, karbala, Mshia, ushia