Dk. Essam Al-Emad ana asili ya Yemeni (aliyezaliwa mwaka 1968). Baba yake Ali Yahya al-Emad na ami yake “Abdul Rahman al-Emad” ni miongoni mwa wanazuoni wakubwa wa Kisalafi na Kiwahabi huko Yemen. Jamaa zake ni miongoni mwa waanzilishi wa wasomi wa Kiwahabi huko Yemen na eneo hilo, Pamoja na hivyo kwamba baba yake, ami yake na binamu zake, dada zake wawili pia walioitwa Dk “Bushra” na Dk. ‘’Hudaa’’ ni walimu maarufu wa vyuo vikuu vya kiwahabi nchini Yemen.
Essam aliingia katika shule za Kiwahabi tangu akiwa na umri wa miaka sita na alikuwa
akifanya kazi katika shule za elimu za madhehebu haya na shule nyingine za elimu na katika misikiti ya Kiwahabi nchini Yemen. Kwa miaka michache, alisoma chini ya “Mohammed Ismail Al-Umrani”, kiongozi na mwanazuoni wa Uwahabi huko Yemen, ambaye hivi karibuni alitoa fatwa juu ya wajibu wa kuwaua Mashia. Bila shaka, Dk. Essam, kwa kudumisha heshima ya mwalimu wake, aliandika barua ya heshima na yenye hoja ya kukataa fatwa hii na kumlalamikia al-Umrani kwa kutoa fatwa hii. Miongoni mwa walimu wake wengine, tunaweza kumtaja “Ahmed Salameh” na “Abdu al-Razzaq Al-Shahzi”, mmoja wa wanachuoni wakubwa wa Kiwahabi wa Yemen, na vile vile “Maqbul Al-Wadaei”, mmoja wa maadui wakali wa Shia.
Kisha Essam alisafiri hadi Saudi Arabia ili kuendelea na elimu yake na alihitimu shahada yake kutoka Chuo Kikuu cha Imam Muhammad Ibn Abdul Wahab, upande ya Usul al-Din katika fani ya elimu ya Hadithi.
Wakati wa masomo yake huko Saudi Arabia, aliingia darasa la kibinafsi na mkusanyiko wa Mufti Mkuu wa Kiwahabi Sheikh “Ibn Baz” na akawa mmoja wa wanafunzi wake mashuhuri, na wasomi anaowategemea. Baada ya kuhitimu, kwa muda wa miaka minne, alichukua madaraka ya kua imamu wa Ijumaa na sala ya jamaa katika misikiti ya “Bab Al-Qa”, “Al-Asti”, “Hayl Saeed” na “Al-Dawa”, na katika wakati huo, alifundisha vitabu muhimu vya Uwahabi, kikiwemo kitabu cha tawhid cha Muhammad Ibn Abdu al-Wahhab katika misikiti na shule hizi na pia Msikiti mkubwa na mkuu.
Wakati huo huo, chini ya ushawishi wa fikra za Kisalafi za Ibn Taymiyyah (karne ya 8), aliandika kitabu cha kupinga Ushia “Al-Sallah kati ya Kumi na Mbili na Farq al-Ghala” (uhusiano kati ya madhehebu ya Shia na Ghali) katika kitabu maarufu “Minhaj al-Sunnah” kua katika sehemu mbili : Sehemu ya kwanza kuhusu matusi ya Ali (as) na sehemu ya pili dhidi ya Mashia kwa ujumla.! Pia Kwa bahati nzuri, Dk. Essam aliingia na kuwa shia wa maimamu 12 kabla ya kuchapishwa kwa kitabu hiki, na kitabu kilichotajwa hakikuwahi kuchapishwa, lakini mwanzoni mwa mazungumzo haya, aliniambia kwa masikitiko makubwa na huzuni juu ya kuandikwa kwa kitabu hiki: “Kutoka katika uadui na Imam Ali (as ) Nimekua rafiki na Imam Ali[as]. Katika kitabu sahaba, ametaja madhulma na uadilifu wa Bibi Zahra (as) kuwa ndio sababu kuu ya yeye kuwa Shia na akasema: “Ni vigumu sana kwa Mawahabi kukubali kwamba uadilifu wa Bibi Zahra (as), ni kwa sababu kwa kufanya hivyo, wao wenyewe wanakua kwenye maswali.
Essam Al-Emad, akizungumzia unyakuzi wa Fadak, aliongeza: Siku moja mmoja wa masahaba alikuja kwa Mtume (SAWW) na kusema kwamba, nimejitolea[waqf] mali yangu yote, Mtume[saw] alikasirika na akasema kwamba vipi wewe una haki ya kutoa thuluthi ya mali yako, ni vipi itawezekana kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (Saww) akasema kwamba baada yangu, mali yangu yote kuwa katika sadaka.
Kulingana na maoni ya watu wote wenye busara, ikiwa mtu anataka kukabidhi mali yake kua waqf, watu wa kwanza watakaohusika ni watoto wake, sio marafiki na maswahaba, ambao hawastahiki kurithi, isipokuwa katika kesi ambayo baba anahisi kuwa Watoto ni safia. ‘’Safia’’ maana yake ni mtu ambaye Hawezi kulinda mali na ardhi. Ijapokua Mtume (as) ni mtu mwenye hekima, inawezekanaje akamwambia mmoja wa makhalifa kuwa mali yangu ni sadaka na hakumwambia binti yake, nikasema labda binti yake Zahra (sa) ‘’safia’’, nilichunguza nikaona kwamba Mtukufu Mtume (saw) alimtambulisha Bibi Zahra (as) kama mwanamke mkamilifu zaidi duniani, kwa hivyo inawezekanaje kuacha kuiambia familia yake. Nilistaajabu niliposoma maneno haya katika kitabu cha Fakhruddin Razi, ukandamizaji wa Bibi Zahra (as) ni moja ya sababu muhimu ya mwelekeo wa kuelekea Ushia, nami nimependa kuelezea hili katika makala yenye kichwa “Nafasi ya ukandamizaji wa Bibi Zahra (as) katika “Istibsaar”.
Mwishoni mwa mahojiano haya, alisema: “Ni vigumu sana kwa Mawahabi kukubali haki ni ya Bibi Zahra[sa], kwa sababu kwa kufanya hivyo wanajihoji wenyewe, na kwa sababu hiyo, nikaona njia bora ya kueleza na kuthibitisha kuwa maasumu ni kueleza kisa cha Mtume na Zahra na utetezi wake kwa watu hao, ukandamizaji wa ajabu wa watu hao kwa Bibi Zahra[sa]’’.
Dk. Essam ni mtaalamu wa elimu ya Hadithi na Rijal, historia ya Uislamu na madhehebu ya Kiislamu, na ni mtaalamu mkuu wa harakati za Kiislamu za kisasa na anavutiwa na watu mashuhuri kama vile Sayyed Muhammad Qutb na Muhammad Ghazali Masri (mwanafikra wa kisasa na mkosoaji wa kielimu wa Uwahabi, ambaye yeye anajulikana kwa jina la “Al-Aql Sahrawi” ). Baada ya Istbasar, kwa kuandika vitabu vya hoja zenye matunda na kukosoa fikra za kimsingi kabisa za kitakfiri za Uwahabi, na kwa kufanya mijadala mingi (mtandaoni, ana kwa ana na iliyoandikwa) na viongozi wa madhehebu ya makhalifa, hususan madhehebu ya Kiwahabi, alifaulu kuwaongoza mamia na zaidi, maelfu ya vijana watafutao ukweli walikwenda katika dhehebu ya Ahlul-Bayt, as, ambao miongoni mwao tunaweza kuwataja Watoto wa kaka yake na dada yake Pamoja na dada zake watatu, ambao hivi sasa wanasoma elimu ya dini katika mji wa Qom.
Moja ya mijadala yake muhimu na “Uthman Al-Khamis”, kiongozi wa Kiwahabi wa Kuwait, ambaye ni mmoja wa wanazuoni wa Kiwahabi waliobobea, ilifanyika katika kipindi cha mwaka mmoja na kupitia mtandao, na kisha kuchapishwa katika moja- mkusanyiko[kitabu] wa kurasa 869 unaoitwa “Al-Zelzal”.
Baada ya midahalo hiyo iliyokubaliwa vyema na vijana wengi wa nchi za Kiarabu, baadhi ya magazeti ya nchi za Kiarabu yalitangaza matokeo ya majadiliano hayo kama ifuatavyo: “Kushindwa kwa kashfa kwa Sheikh Al-Wahabi katika Al-Kuwait; Kushindwa kwa fedheha kwa sheikh wa Kiwahabi wa Kuwait” (gazeti: Saut al-Bayt huko Misri, namba: 27). Kitabu hiki kinaweza kuwa chanzo bora na cha kisasa kwa watafiti. Miongoni mwa kazi zake zingine, tunaweza kurejelea kitabu cha “Ukosoaji wa Sheikh Muhammad Ibn Abd al-Wahhab, Man Dakhl”, (Ukosoaji wa Sheikh Muhammad Ibn Abdul -Wahhab kutoka ndani), ambacho pia kilitafsiriwa kwa lugha ya Kiajemi, na pia kitabu ” Al Manhaj al-Jadid wa Sahih fi al-Hawar pamoja na Al-Wahhabiyin” ambayo mwandishi aliiandika katika Kitabu hiki anajaribu kujibu swali, vipi dhehebu ya Shia inaweza kuwasilishwa kwa Mawahabi? Makala haya yametafsiriwa kwa lugha ya Kiajemi na Mustafa Eskandari na kupewa jina la “Mazungumzo bila migogoro; Hatua kuelekea ufahamu” imechapishwa katika kurasa 144 na Darul Ghadeer Publishing House.
Katika “Mazungumzo Yasiyo ya migogoro”, mwandishi anapata njia mpya ya kujadiliana na Mawahhabi ili kuwageuza kuwa mashia. Kwa mujibu wa ufahamu wake wa kina wa Uwahabi, anaashiria umuhimu wa hatua tatu za piramidi katika kuwasilisha dhehebu ya Ahl al-Bayt kwa Mawahabi;
Hatua ya kwanza: Elimu ya utegemezi na mafungamano ya madhehebu ya Imamiyyah (ambayo inachunguza sababu kuu mbili za makosa ya Uwahabi katika kufikiria kuwa Shia na Ghala ni kitu kimoja).
Hatua ya pili: Elimu ya kina kuhusu madhehebu ya imamiyah (katika kipengele hiki wanajadili mambo manne muhimu ya asili, ambayo ni: Uungu na Utume, sheria, malengo, na istilahi za imamiyah).
Na hatua ya tatu: kutambua mizizi ya dhehebu ya Imamiyah (ambayo nukta nne za msingi za madhehebu ya Ahlul-Bayt zimechunguzwa, yaani vyanzo, Uimamu, utambulisho na ukweli wa Uimamu, na sababu za kuwepo kwake.) Ninapendekeza kusoma kazi hii na pia ni maandishi kamili hasa kwa vijana.
Agosti 13 2024
HISTORIA YA MAISHA YA DR. ESSAM ALI YAHYA AL EMAD

By kiswahili • MAKALA ZA WALIOKUWA MASHIA 0 • Tags: Essam al-emad, muislamu, uishia