Mapenzi kwa Imam Hussein (as) ndio sababu ya mimi kuongoka

Mahojiano na Mustabsir kutoka Chabahar, ambaye aliongoka kwa jina, kumbukumbu na njia ya Sayyid al-Shahda (AS) kwenye njia sahihi na kua Shia.  Mwenyewe anajitambulisha kama ifuatavyo: Mimi ni mtumishi wa Kiislamu kutoka katika moja ya vijiji vya Chabahar na imepita zaidi ya miaka 10 tangu niwe Shia.  Mwanzoni, makazi yetu yalikuwa Hotan Park, kati ya […]