DUNIA haitokuwa kwenye AMANI pindi MAMBO HAYA 4 yatakapo kuwepo
TUNATAKA KUELEZA MAMBO HAYA 4 PINDI TU YATAKAPO KUWEPO BASI DUNIA HAITOKUA KATIKA AMANI.
TUNATAKA KUELEZA MAMBO HAYA 4 PINDI TU YATAKAPO KUWEPO BASI DUNIA HAITOKUA KATIKA AMANI.
Swali: Salam Alaikum, vile baadhi ya watu wanavyosema, mtu akijitahidi atafanikiwa, na wanavyosema ukijitahidi Mungu atakusaidia pia. Swali hili linakuja kwamba wakati mtu anajitahidi kufanya kitu, anafanikiwa, na haitaji msaada wa Mungu, kwa hivyo msaada wa Mungu una maana gani?! Jibu kwa ufupi: Ni sheria, kanuni ya
Swali: 1-Je, maana ya kusafisha mwili katika sala ni pamoja na kusafisha ndani ya mdomo na pua au la? 2- Iwapo mtu aliyeng’olewa jino, akisimama kwa ajili ya swala, ni lazima mara kwa mara ateme mate yake yenye damu kwenye leso, na wakati mwingine midomo na mikono yake inakuwa na najisi, je inabidi afanye nini? […]
Jibu fupi: Imamu Swadiq (a.s.) anaeleza sifa tano za Muumini: Usafi katika kazi na biashara,
Sio Masunni wote wenye mtazamo kama huo kwa Shia; bali watu wachache wenye uadui na waovu kama mawahabi, ambao uadui wao kwa Ushia na madhehebu ya Ahlul-Bayt (AS) haufichiki kwa mtu
Dk. Essam Al-Emad ana asili ya Yemeni (aliyezaliwa mwaka 1968). Baba yake Ali Yahya al-Emad na ami yake “Abdul Rahman al-Emad” ni miongoni mwa wanazuoni wakubwa wa Kisalafi na Kiwahabi huko Yemen. Jamaa zake ni miongoni mwa waanzilishi wa wasomi wa Kiwahabi huko Yemen na eneo hilo, Pamoja na hivyo kwamba baba yake, ami yake […]
JE MASHIA WALIHUSIKA NA MAUWAJI YA IMAM HUSEIN?
Ibrahim Sode Hachaki, mwanazuoni wa Kijapani! Weblog ya “Bayan”, ambayo mwandishi wake ni mwanafunzi wa Shahada katika kozi ya biolojia nchini Japani, ilimnukuu
Nini maana ya “Uadilifu kwenye Kauli”?
Swali: Nini maana ya “Uadilifu kwenye Kauli”? Jibu fupi: “Uadilifu kwenye Kauli” ni kinyume cha kugombana na kubishana, ambayo ina maana ya uadilifu na haki katika hali zote. Bila shaka,