Sio Masunni wote wenye mtazamo kama huo kwa Shia; bali watu wachache wenye uadui na waovu kama mawahabi, ambao uadui wao kwa Ushia na madhehebu ya Ahlul-Bayt (AS) haufichiki kwa mtu
yeyote, na ambao wanajaribu kuongeza utofauti kati yao, kuweka kinyongo na ukafiri kwa Waislamu wengine, wanajaribu kuwashutumu Mashia.
Tunaweza kusema kuwa, kuna nia mbaya za kishetani na potofu na fikira mbaya na labda mwongozo wa maadui wa Uislamu umekua na nafasi kubwa katika mambo haya. Sababu ya tuhumu za Masunni dhidi ya Mashia, ni kuandikwa kwa kitabu na mmoja wa wanazuoni wa Kishia aitwaye Muhaddith Nouri, ambacho ndani yake zimekusanywa Hadith zinazoonyesha upotoshaji wa Qur’ani. Hata hivyo, ifahamike kwamba katika vitabu vyao vilivyo sahihi na vilivyokubalika zaidi, yaani Sahihi Bukhari, pia kuna riwaya zinazoleta akilini kuhusu tuhuma za kupotosha Qur’ani.
Kitabu kama hiki chenye mada inayofanana na hiyo , yaani upotoshaji wa Qur’ani, kilichoandikwa na mwanachuoni wa Kimisri aliyekua ni msunni, kwa kuzingatia riwaya za vitabu vya Ahlul-Sunnah, inaonyesha kwamba katika suala hili, tuhuma ya imani katika Upotoshaji wa Qur’ani inarudi kwao na kwa ushawishi wao wenyewe. Kama ilivyo kwa sisi Mashia hatuoni kua kunukuu riwaya moja tu au zaidi katika vitabu vyao ni dalili kuwa ni upotoshaji wa imani ya wafuasi wote wa dhehebu hili, uadilifu wa kielimu unaamuru kwamba wao pia wasifanye shutuma hizo dhidi ya Mashia.
Hasa kwa vile Wanachuoni wa Kishia kabla ya kila Mtu walijaribu kukikosoa na kukanusha kitabu cha Muhaddith Nouri, na kwa sababu za kimantiki, akili na za Qur’ani na riwaya tofauti, Wametetea ukweli wa kutoharibika(kupotoka) kwa Qur’ani mpaka Siku ya Kiyama.
Source: Makarem.ir
Septemba 3 2024
Kwanini Masunni wanawatuhumu Mashia katika imani ya ((kupotosha Qur’ani))?

By kiswahili • VYOMBO VYA HABARI VYA WALIOKUWA MASHIA 0