Zainab Kubraa (sa) katika hotuba ya Mustabsirin
Katika siku ya kuzaliwa Bibi Zainab (sa), ni vyema kujua na kujifunza kutokana na athari za bibi huyu mkubwa na mtukufu katika maisha ya wenye utambuzi, hususan wanawake waliokua mustabsirin. Amy Hodgkins anasema kuhusu ushawishi wa Bibi Zainab katika maisha yake: Lakini kitu kilichonivutia sana ni kwamba Bibi Zainab (sa) aliswali sala yake ya usiku […]
Kwanini Masunni wanawatuhumu Mashia katika imani ya ((kupotosha Qur’ani))?
Sio Masunni wote wenye mtazamo kama huo kwa Shia; bali watu wachache wenye uadui na waovu kama mawahabi, ambao uadui wao kwa Ushia na madhehebu ya Ahlul-Bayt (AS) haufichiki kwa mtu