ILIKUAJE SHEIKH ZAKZAKY AKAWA SHIA?
Enzi za uwanafunzi wa kiongozi wa Kishia wa Nigeria zilisadifiana na ushindi wa Mapinduzi ya jamuhuri ya Kiislamu ya nchi ya Iran; Hii ni pamoja na kuwa alibadilika kuwa Shia chini ya ushawishi wa fikra za Imam Khomeini na kuwashawishi Waislamu wa Nigeria kuwakabili Wazayuni. Kwa mujibu wa kituo cha habari cha Istibsar, Sheikh Ibrahim […]
Mapenzi kwa Imam Hussein (as) ndio sababu ya mimi kuongoka
Mahojiano na Mustabsir kutoka Chabahar, ambaye aliongoka kwa jina, kumbukumbu na njia ya Sayyid al-Shahda (AS) kwenye njia sahihi na kua Shia. Mwenyewe anajitambulisha kama ifuatavyo: Mimi ni mtumishi wa Kiislamu kutoka katika moja ya vijiji vya Chabahar na imepita zaidi ya miaka 10 tangu niwe Shia. Mwanzoni, makazi yetu yalikuwa Hotan Park, kati ya […]