Mazungumzo na kijana wa Canada aliyesilimu mwezi wa Ramadhani – Subhanallah
Gregory Soden anaamini kwamba: “Katika nchi zote za Magharibi Watu wengi hawana Imani za kiroho na watu wengi wanaenda Kuitafuta. Inaonekana falsafa za Mashariki kuwa kawaida sana na kusababisha watu wengi wanaotafuta Imani ya kiroho kwenda upande huo, lakini si wote wanaoamini Mungu mmoja. Nchini Canada, kuna Idadi kubwa ya watu ambao
ILIKUAJE SHEIKH ZAKZAKY AKAWA SHIA?
Enzi za uwanafunzi wa kiongozi wa Kishia wa Nigeria zilisadifiana na ushindi wa Mapinduzi ya jamuhuri ya Kiislamu ya nchi ya Iran; Hii ni pamoja na kuwa alibadilika kuwa Shia chini ya ushawishi wa fikra za Imam Khomeini na kuwashawishi Waislamu wa Nigeria kuwakabili Wazayuni. Kwa mujibu wa kituo cha habari cha Istibsar, Sheikh Ibrahim […]