Mahojiano ya Bibi Mwingereza aliyeingia kwenye Ushia kuhusu Imam Hussein (as)
Dk. Rebecca Masterton, Mshia mwenye makazi yake nchini Uingereza ambaye ni Mwislamu mpya, anasema kwamba anajivunia kusilimu pamoja na kufahamu kua Imamu Husein (a.s.) ni kielelezo cha nafsi safi, tukufu na yenye upeo mkubwa gizani ambao ni nadra sana kwa watu wengi. Kuhusiana na hilo, anasema:
Mwanamke wa Kiislamu wa Brazil anasema nini kuhusu hijabu?
“Camila Celestino”, bibi wa Kiislamu wa Brazil, ni mmoja wa wale ambao, katikati ya giza la ujinga na kutofahamu, wakawa mfano wa aya «اللَّهُ وَلِیُّ الَّذینَ آمَنوا یُخرِجُهُم مِنَ الظُّلُماتِ إِلَی النّورِ» “Mwenyezi Mungu ni