Kitabu ambacho kimefanya Muujiza kwa Jamii ya Waislamu
Kitabu hichi kinaitwa “Hatimaye nimeongoka” kimeandikwa na Ostadh Sayyid Muhammad Tijani kuhusu safari yake ya kuongoka. Hiki unaweza kukipata kwenye link hii ya chini: https://issuu.com/halimohamed99/docs/hatimaye_nimeongoka
Kibatu cha Al-Mawsu’a Al kubra Al Mustabsirin
Muhtasari wa yaliyomo katika kitabu hiki: Katika kitabu hiki, mwandishi amezungumzia mada ya Tawhidi kwa mtazamo wa Ahlul-Bayt (as) na amemtambulisha msomaji juu ya tawhidi ya Kishia kwa kutumia aya na hadithi kwa njia rahisi. Mbali na mada za tawhidi, pia amezungumzia masuala ya sasa ya umma wa Kiislamu. – Shughuli nyingine muhimu ya Kituo […]