ILIKUAJE SHEIKH ZAKZAKY AKAWA SHIA?

Enzi za uwanafunzi wa kiongozi wa Kishia wa Nigeria zilisadifiana na ushindi wa Mapinduzi ya jamuhuri ya Kiislamu  ya nchi ya Iran; Hii ni pamoja na kuwa alibadilika kuwa Shia chini ya ushawishi wa fikra za Imam Khomeini na kuwashawishi Waislamu wa Nigeria kuwakabili Wazayuni. Kwa mujibu wa kituo cha habari cha Istibsar, Sheikh Ibrahim […]