- kategoria
- ENSAIKLOPIDIA YA WALIOKUWA MASHIA
- HISTORIYA YA WALIOKUWA MASHIA
- JARIDA LA WALIOKUWA MASHIA
- MAKALA ZA WALIOKUWA MASHIA
- MAKTABA YA KISHIA
- MIJADALA YA WALIOKUWA MASHIA
- VITABU VILIVYO CHAPWA NA KUENEZWA NA KITUO HIKI
- VITABU VYA WALIOKUWA MASHIA
- VYOMBO VYA HABARI VYA WALIOKUWA MASHIA
- WASIFU WA WALIOKUWA MASHIA
- UTAMBULISHO WA KITUO
Katika sala, pamoja na usafi wa nje wa mwili, usafi wa ndani yake pia ni lazima?
Swali: 1-Je, maana ya kusafisha mwili katika sala ni pamoja na kusafisha ndani ya mdomo na pua au la? 2- Iwapo mtu aliyeng’olewa jino, akisimama kwa ajili ya swala, ni lazima mara kwa mara ateme mate yake yenye damu kwenye leso, na wakati mwingine midomo na mikono yake inakuwa na najisi, je inabidi afanye nini? […]