HISTORIA YA MAISHA YA DR. ESSAM ALI YAHYA AL EMAD

Dk. Essam Al-Emad ana asili ya Yemeni (aliyezaliwa mwaka 1968).  Baba yake Ali Yahya al-Emad na ami yake “Abdul Rahman al-Emad” ni miongoni mwa wanazuoni wakubwa wa Kisalafi na Kiwahabi huko Yemen.  Jamaa zake ni miongoni mwa waanzilishi wa wasomi wa Kiwahabi huko Yemen na eneo hilo, Pamoja na hivyo kwamba baba yake, ami yake […]