(Pichani): Mwanamke kijana wa Kithailand aliekuja kuwa Shia kwenye kaburi tukufu la Imam Ridhaa (a.s)
Mwanamke huyu wa Kithailand alisema kwamba: kila dini na madhehebu niliyojifunza, niliona nyenzo za thamani zimetawanyika, lakini Ushia ndiyo dhehebu ambayo kanuni za kina zaidi zilijadiliwa kwa kina, na Waislamu wanaweza kufika kileleni kwa juhudi katika
HISTORIA YA MAISHA YA DR. ESSAM ALI YAHYA AL EMAD
Dk. Essam Al-Emad ana asili ya Yemeni (aliyezaliwa mwaka 1968). Baba yake Ali Yahya al-Emad na ami yake “Abdul Rahman al-Emad” ni miongoni mwa wanazuoni wakubwa wa Kisalafi na Kiwahabi huko Yemen. Jamaa zake ni miongoni mwa waanzilishi wa wasomi wa Kiwahabi huko Yemen na eneo hilo, Pamoja na hivyo kwamba baba yake, ami yake […]