KITABU – UKWELI NI HUU
Bonyeza HUKU ili upate Kitabu hichi Kitabu kilichopo mikononi mwako ni kile ambacho kimeandikwa na Dr. Sheikh Ahmad al-Waaili na kutarjumiwa na Sheikh Abdulmajid Nassir na kusahihiswa na Shiekh Musabbah Shabaan Mapinda. Kwa jitihada zao hizi na nyingine, Mwenyezi Mungu awalipe malipo mema hapa Duniani na kesha huko Akhera
Katika sala, pamoja na usafi wa nje wa mwili, usafi wa ndani yake pia ni lazima?
Swali: 1-Je, maana ya kusafisha mwili katika sala ni pamoja na kusafisha ndani ya mdomo na pua au la? 2- Iwapo mtu aliyeng’olewa jino, akisimama kwa ajili ya swala, ni lazima mara kwa mara ateme mate yake yenye damu kwenye leso, na wakati mwingine midomo na mikono yake inakuwa na najisi, je inabidi afanye nini? […]