Hadithi ya ajabu ya Muhindi mmoja kufanya Tawasul kwa Imamu Ali (a.s)

Mkimbizi mmoja kutoka India alikwenda kwenye kaburi tukufu la Amirul-Mu’minin (amani iwe juu yake) na akasema: “Ewe Ali (amani iwe juu yake)  nimekuja kuishi karibu na kaburi yako. Nimeacha nchi yangu na faraja na sasa… Kwa mujibu wa tovuti ya habari ya Istibsar, mwanachuoni Seyyed Hashem Bahrani anasema: