Khossum Al-Hussein – Kilichoandikwa na aliokuwa Mshia Mheshimiwa, Dr. Saleh Alwardani
Muhtasari mfupi wa wasifu wa mwandishi wa kitabu hiki: Mwanachuoni na msimuliaji mashuhuri wa Kimisri, Bwana Swaleh al-Wardani,alizaliwa mwaka wa 1330 Hijiria, katika mji wa Cairo, Misri, katika familia ya madhehebu
Ta’amulat kimeandikwa na Bw. Dk. Abdul-Baqi al-Jazira
Msomi na mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu, Bw. Dk. Abdul-Baqi al-Jazira, alizaliwa nchini Algeria mwaka 1335 Hijria. Alifanikiwa kupata shahada ya kwanza