KITABU – UKWELI NI HUU

Bonyeza HUKU ili upate Kitabu hichi

Kitabu kilichopo mikononi mwako ni kile ambacho kimeandikwa na
Dr. Sheikh Ahmad al-Waaili na kutarjumiwa na Sheikh Abdulmajid
Nassir na kusahihiswa na Shiekh Musabbah Shabaan Mapinda. Kwa
jitihada zao hizi na nyingine, Mwenyezi Mungu awalipe malipo mema
hapa Duniani na kesha huko Akhera